Radio Safina ni kituo cha Radio kilichoanzishwa kwa madhumuni ya kueneza neno la Mungu kwa njia ya Radio, kituo hiki kinapatikana Jijini Arusha na kinarusha matangazo yake ya kueneza neno la mungu kupitia masafa ya FM 92.60.
Genre:
Pop music
Contact:
Phone: 0788335134
Country:
Tanzania
Language:
Kiswahili